Revelation of John 21:25-26

25 aMalango yake hayatafungwa kamwe, kwa maana hakutakuwa na usiku humo. 26 bUtukufu na heshima za mataifa zitaletwa humo.
Copyright information for SwhNEN